NEC Yamteua Cecilia Mwanga Kugombea Urais – Video

Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Cecilia Mwanga, kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Tabu Juma kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais kupitia Chama cha Demokrasia Makini.Toa comment