NEC Yamteua Lipumba Kugombea Urais – Video

MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage, kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Profesa Ibrahim Lipumba kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Hamida Abdallah Huweishi, kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais kupitia Chama cha Wananchi (CUF).Toa comment