NEY WA MITEGO FT. DIAMOND – MUZIKI GANI (OFFICIAL LYRICS VIDEO)

3 0Subsvcribe to my channel
THANK YOU

LYRICS
CHORUS
Hivi nyi ma mc mnachoimba kitu gani,
mara bangi mara matusi sa ndo muziki gani (diamond).
Hii no hip-hop h.o.p muasisi wa burudani,
tushachoshwa kutwa mapenzi, kabane
Pua nyumbani (ney) X2
DIAMOND
Hata bibi yangu mi aliniambia ,
mwanamke anahitaji kubembelezwa
Kupetipeti matunzo pia,
ukienda rafu utampoteza,
Muziki ni mfano wa binti muzuri,
Na ndio maana namtunza kwa
vazi na uturi
NEY WA MITEGO
Aaah piga kimya,
we ndo haufai kabisa hauna maana
Wabana pua kila siku mnarogana,
bibi yako alikuambia muziki ni kama binti
Mbona unawachezea unawatema kama big g
Mara wema, mara Jo keti,
mara Naj, mara Penny,
je mnafanya mziki mpate mabinti
DIAMOND
Uuuhhuuuu, hata wazee wazamani, walishasemaga kazi na dawa
Chamuhimu jukwaani, ni kuhakikisha wanapagawa,
Kwa michezo ya kuringa ringa ndo huwa wanadata
Badilika usiwe mjinga, utawakamata
CHORUS
Hivi nyi ma mc mnachoimba kitu gani,
mara bangi mara matusi sa ndo muziki gani (diamond).
Hii no hip-hop h.o.p muasisi wa burudani,
tushachoshwa kutwa mapenzi,
kabane Pua nyumbani (ney) X2

NEY WA MITEGO
Muziki wenu ushirikina ndio umetawala,
q chilla analalama anasema umemroga
Mganga wako aliekutoa
umemkimbia hujalipa,
bila skendo za magazeti basi huskiki
DIAMOND
Mi ni mti wenye matunda,
milele siogopi kupigwa mawe
Ubaya wenu wengi kayumba,
elimu mliitupa sandakalawe
NEY WA MITEGO
Bado hujanishawishi,
bongo fleva inanipa kichefu chefu
Kwanza nyie malimbukeni wa umaarufu
Mnalenta maringo mpaka kwa mashabiki ,
Wabana pua nyie watoto sio riziki,
Mnavaa nguo za dada zenu,
zinawabana mapaja nyie makaka duu
Aah nyie watoto mchele mchele ,
kwenye show viuno mbele mbele X2
Nimewanyamazisha,
brazameni vipi we bado unabisha
DIAMOND
Mi nnamengi nnayajua,
ila we ni mtemi utaanzisha utata
Michezo yenu kutoboa pua,
bora ninyamaze usinipige mbata

CHORUS
Hivi nyi ma mc mnachoimba kitu gani,
mara bangi mara matusi sa ndo muziki gani (diamond).
Hii no hip-hop h.o.p muasisi wa burudani,
tushachoshwa kutwa mapenzi,
kabane Pua nyumbani (ney) X2

Watch new video ft Ne-Yo “Marry You” :
DOWNLOAD/STREAM “Marry You” :

Buy it from iTunes:
Yalipikwa mahakuli yaka pikika…mahakuli yakaenda saawia kuwafikia watanzania wote na East africa nzima kuupokea Nyimbio hii kwa mapenzi yote…..Asa wakati umewadia kurudisha shukrani zetu kwenu,Ile video ya True Boy Nay wa Mitego Feat Diamond Platnumz,Kwa sasa kipo Hapa…Baada ya kutambulishwa mbele ya maelfu ya watanzani pale Darlive na New Maisha Club sasa ni muda muafaka wa wewe ndugu,Jamaa na hata marafiki waliokuwepo mbali kushindwa kufika……na Kuangalia Video hiyo iliyo simamiwa kiufasa zaidi…kwa Technolojia ya kisasa zaidi…..
Music in this video
Learn more
Song
Nay wamitego ft Diamond – Muziki gani official video
Artist
Diamond

source

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *