Nyumba Yateketea Kwa Moto Sinza Kumekucha (Picha +Video)

1 0Nyumba Yateketea Kwa Moto Sinza Kumekucha (Picha +Video)


MOTO mkubwa ulizuka usiku wa kuamkia leo Agosti 28, 2020 na teketeza nyumba na mali zilizomo ndani katika maeneo ya Sinza Kumekucha jirani na Uwanja wa Seven Up, jijini Dar es Salaam.

Taarifa za awali zinadai kuwa chanzo cha moto huo ni shoti ya umeme.

Kikosi cha zimamoto kiliwahi kufika eneo la tukio  na kuzima moto huo na hakuna majeruhi wala vifo.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCxToa comment

Posted from

Related Post

Kada CCM Auawa Kisa Sh 200

Posted by - January 23, 2020 0
Kada CCM Auawa Kisa Sh 200 January 23, 2020 by Global Publishers KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM); Kata ya…

Mbasha Yamkuta! – Global Publishers

Posted by - October 19, 2019 0
Mbasha Yamkuta! October 19, 2019 by Global Publishers YAMEMKUTA! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mwimbaji wa Injili Bongo, Emmanuel Mbasha kuingia…

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *