Pogba Akutwa na Virusi vya Corona

Kiungo wa kati wa Manchester United Paul Pogba amekutwa na virusi vya corona, kwa mujibu wa kocha Mfaransa Didier Deschamps.

 

Mchezaji huyo mwenye miaka 27, atahitajika kujitenga na kumaanisha kwamba hatashiriki michuano ya Ligi ya Taifa la Ufaransa.

 

Mfaransa huyo alisafiri kwenda Sweden kushiriki michuano ya ufunguzi ya Timu ya Taifa Jumamosi, Septemba 5.Toa comment