Polisi Yaeleza Mwenyekiti wa BAWACHA Aliyeuawa kwa Mshale

27 0Polisi Yaeleza Mwenyekiti wa BAWACHA Aliyeuawa kwa Mshale

 

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma (RPC), Gilles Muroto amesema chanzo cha kifo cha Mwenyekiti wa BAWACHA, Kata ya Palanga, Asia Said, aliyeuawa baada ya kuchomwa mshale usiku wa kuamkia leo ni ugomvi kati ya mume wake na mtuhumiwa wa tukio hilo, Haruna Ally.

 

Muroto amesema kuwa ugomvi huo ulisababishwa na mume wa marehemu, Hassan Masale, kuingiza mifugo kwenye shamba la alizeti la Haruna Ally.

 

“Tukio limetokea jana majira ya saa 2 usiku na alifariki baada ya kufikishwa Hospitali ya Kondoa, na mshale uliotumika umekamatwa na mtuhumiwa amekamatwaToa comment

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *