Professor Jay: Asanteni sana wana mikumi, tumezindua kampeni rasmi sasa kazi iendelee

8 0

Mgombea Ubunge wa jimbo la Mikumi Kwa tiketi ya CHADEMA Joseph Haule alimaarufu @professorjaytz siku ya jana alizindua kampeni katika jimbo lake la Mikumi na kutoa Shukran kwa wananchi wa Mikumi kwa muitiko walioomyesha.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ujumbe huu.
#Repost @professorjaytz with @make_repost
・・・
ASANTENI SANA wana wa MIKUMI, Tumezindua kampeni zetu rasmi sasa kazi IENDELEE✌️✌️✌️ @pmsigwa_ @binamubananga @mke_wa_profjize @dennis_mosha

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *