Punda atumika kupiga kampeni Pangani, Tanga (+Video)

3 0

Miongoni mwa matukio yaliyojiri katika uzinduzi wa kampeni za mgombea nafasi ya ubunge kupitia chama Cha Mapinduzi CCM Jimbo la Pangani mkoani Tanga @jumaa_aweso ni mgombea huyo kutumia usafiri wa Punda Kama usafiri wake wa kupigia kampeni. Mbali na usafiri huo wa Punda Mheshimiwa @jumaa_aweso akiwa katika jukwaaa la kutoa Sera za kampeni amewapigia magoti wanapangani huku akiwaomba kumpigia kura katika uchaguzi mkuu October mwaka huu. Aidha Akizungumzia mafanikio Yake ya miaka mitano iliopita ya uongozi wake Mheshimiwa @jumaa_aweso amesema kuwa ni kuisemea changamoto ya barabara ya Tanga-Saadani mapaka Bagamoyo ambapo amesema hivi sasa barabara hiyo iko katika hatua za mwisho za kuanza ukarabati wa ujenzi kwa kiwango Cha lami.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *