Rais Magufuli akabidhiwa rasmi Uenyekiti SADC, Kiswahili ruksa kutumika kwenye jumuiya hiyo (+Video)

36 0

Rais Dkt. John Mpombe Magufuli amekabidhiwa rasmi Uenyeketi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC), ambapo mkutano wa SADC unafanyika nchini Tanzania kwa siku mbili ukiwa umehudhuriwa na Marais 11 kutoka nchi mbalimbali wanachama wa SADC.

Akifungua mkutano huo ambao umehudhuriwa na Marais 11 kutoka nchi mbalimbali wanachama wa SADC Rais Magufuli amesema ni fursa nzuri kwa Watanzania kuendelea kulitangaza taifa kupitia mkutano huu wa kihistoria.

Dkt Geingob amesema mafanikio ya viwanda ni dira nzuri kwa maendeleo na mfano wa kuigwa kwa nchi wanachama Jumuiya ya SADC hivyo ni fursa nyingine kwa kujifunza kwa Tanzania huku Mwenyekiti huyo aliyemaliza muda wake akitangaza Kiswahili kuwa lugha ya nne inayotumika kwenye vikao mbalimbali vywa jumuiya hiyo.

Posted from

Related Post

Nora amesahau kama alikuwa staa!

Posted by - September 30, 2019 0
Nora amesahau kama alikuwa staa! September 30, 2019 by Global Publishers KUMBE kuna wakati unafika binadamu anasahau alikotoka? Msikie mwigizaji…

Silva nje City ikiivaa Liverpool

Posted by - November 4, 2019 0
MANCHESTER, England KOCHA Pep Guardiola anatarajia kumuona kiungo wake, David Silva, akiwa nje ya uwanja wakati watakapovaana na Manchester City,…

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *