Rais Magufuli Amjulia Hali Mama Anna Mkapa Jijini Dar Leo

Rais Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiongea na Mama Anna Mkapa, Mjane wa Rais ya Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa,walipokwenda kumjulia hali nyumbani kwake Masaki jijini Dar es salaam leo Jumapili

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli leo Jumapili Octoba 18, 2020 wamekwenda kumjulia hali Mama Anna Mkapa, Mjane wa Rais ya Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa, nyumbani kwake Masaki jijini Dar es salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiagana na Mama Anna Mkapa, Mjane wa Rais ya Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa, na wasaidizi wake walipokwenda kumjulia hali nyumbani kwake Masaki jijini Dar es salaam leo Jumapili

Toa comment