Rais Magufuli amkabidhi Mzee Mwinyi nyumba (+Picha)

2 0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo amemkabidhi Rais mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi Nyumba maalumu iliyojengwa na serekali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999 inayo ainisha ujenzi wa Nyumba maalumu kwa ajili ya marais Mara wanapo Staafu. Hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika Jijini Dar es Salaam leo tarehe 18 Oktoba 2020

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *