Rais Magufuli “Ikulu ya Dodoma inaweza kuwa na eneo kubwa kuliko Ikulu zote duniani” – Video

7 0

Rais Magufuli akiongelea kuhusu Ikulu mpya ya jijini Dodoma “Hata Ikulu ya Dar es Salaam…ilivyo hivyo hivyo…tumeshaanza kuijenga humu ndani (Chamwino – Dodoma) kwa kutumia wataalam wetu. Tulipohamia hapa,wapo watu na mataifa mengine yalikuja yakiomba yatujengee ikulu…nilikataa…naana yake Ikulu ingekuwa wazi…”

By Ally Juma.

 

Posted from

Related Post

HAWANA HURUMA – Gazeti la Dimba

Posted by - August 11, 2019 0
LONDON, England NANI wakuwazuia? Raheem Sterling alifunga mabao matatu ‘hat-trick’ Manchester City ikianza kwa kishindo mbio za kutetea ubingwa wa…

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *