Rasmi klabu ya Simba imemtangaza CEO wao mpya ambaye atakuwa mrithi wa Senzo (+Video)

7 0

Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba imemtangaza Barbara Gonzalez kuwa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo akichukua mikoba ya Senzo Mbatha aliyehamia Yanga.

Menejimenti ya Klabu ya Simba kupitia kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Mohamed Dewji amemtangaza Barbara Gonzalez kama Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo anayechukua mikoba ya Senzo.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *