RC wa Mbeya Chalamila abadilisha gia angani, Sigombei tena maneno ya Rais yamenikolea

37 0

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema kuwa, kwa sasa ameahirisha nia yake ya kugombea Ubunge Jimbo la Iringa Mjini, kwa madai ya kwamba maneno ya Rais Magufuli yamemkolea. itakuwa ni utovu wa nidhamu yeye kukiuka kauli ya Rais John Magufuli.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *