Redknapp amtaka Pochettino kuikataa United

13 0


BIRMINGHAM, ENGLAND – AUGUST 15: Harry Redknapp manager of Birmingham City during the Sky Bet Championship match between Birmingham City and Bolton Wanderers at St Andrews (stadium) on August 15, 2017 in Birmingham, England. (Photo by James Baylis – AMA/Getty Images)

KOCHA wa zamani wa
klabu ya Tottenham Hortspurs, Harry Redknapp anasema kuwa atamshangaa
kocha  Mauricio Pochettino kama ataamua
kuondoka na kujiunga na Manchester United.

Amesema kuwa kocha
huyo atakuwa mjinga kwenda kuanza kukijenga upya kikosi cha mashetani wekundu
ambacho kimekuwa na matokeo mabaya miaka ya hivi karibuni.


Source link

Related Post

Rekodi za Dube Zamfunika Kagere

Posted by - October 23, 2020 0
Rekodi za Dube Zamfunika Kagere October 23, 2020 by Global Publishers MASHABIKI wamelinganisha kasi aliyoanza nayo mfungaji bora wa Ligi…

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *