Rose Ndauka Hataki Kabisa Kuigiza Maisha

ROSE Ndauka, staa wa sinema za Kibongo, amesema katika vitu ambavyo vimepitwa na wakati kwa mastaa, ni kuigiza maisha kwa sababu hata hizo pesa za kuigiza hakuna.

 

Akizungumza na Mikito Nusunusu, Rose amesema kama kuna staa anahangaika na kuigiza maisha, atakuwa anachelewa sana kufanya vitu vyake vya ukweli maishani, mwisho wake atapotelea kwenye kuigiza siku zote.

“Mambo ya kuigiza maisha jamani yalipitwa na wakati, tuigize tu hivi hivi michezo yetu na si vitu vingi, maana zamani hata hela za kuigiza zipo sio sasa hivi,” alisema Rose NdaukaToa comment