RPC NJOMBE: Huwezi kuamini na naomba uamini kuwa, watu wamevamia Mahakama na kuiba (+Video)

2 0

Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za wizi baada ya kuvunja Mahakama ya Wilaya ya Njombe na kuiba vitu mbalimbali vya ofisi hiyo ikiwemo Laptop tatu (3) na Sukari kiasi cha Kg 25, waliokamatwa yupo aliyeiba na mwingine aliyeenda kuuziwa Laptop hizo.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *