SAI KENYA – UNABOA OFFICIAL MUSIC VIDEO

26 47Sai Kenya Unaboa out now and available on all Platforms

Find Sai Kenya on Social Media
Facebook –
Instagram –

Song – Unaboa
Artist – Sai Kenya
Record Label – Shirkomedia Entertainment
Producer – Shirko
Director – Director BM/IVID Production
Booking – booksaikenya@gmail.com

©2020 Administered by Ngomma VAS Limited.

source

Related Post

There are 47 comments

 1. Avatar

  #UNABOA LYRICS BY SAI KENYA

  Unajua sometimes unaniona nina gubu,
  naona bora ninyamaze
  tu niwe mjinga.
  Zuri baya sisemi nishaamua kuwa bubu,
  mnyonge ninyonge haki yangu iwe kinga.
  Moyo unakukataa saa nyingine unakukubali,
  japo unantenda unantesa tu navumilia.
  Wivu sijakataa ninao kweli nakubali,
  yote kisa nakupenda ndo maana nalia.
  Hauna muda namimi kwako mpira muhimu,
  utadhani unalipwa kwani we Furgersoni.
  Mchafu wako ulimi mwepesi kunihukumu,
  bize bize kutwa kama malaika wa motoni.

  Hata hufanani na kiburi
  Unaboa Unaboa
  Hujawahi nisifu mimi mzuri
  Unaboa Unaboa
  Matani na mimi ndo sifuri
  Unaboa Unaboa
  Wenzangu unawaita vituyuri,
  zamu yangu lini.

  Natamani siku nami niulizwe hali yangu,
  nisiishie kuyaona mazuri tu kwa wenzangu.
  Kukwepa mawazo na kukesha tu ndani mwangu,
  ningejaaliwa mtoto ningecheza hata na mwanangu.
  Nahitaji (nahitaji time nawe)
  Japo nipigie (nahitaji time nawe)
  Usinikimbie (nahitaji time nawe nisijione mpweke)
  Basi jishtukie (nahitaji time nawe)
  Usininunie (nahitaji time nawe)
  Mpenzi nihurumie (nahitaji time nawe nisijione mpweke)
  Hauna muda na mimi kwako mpira muhimu,
  utadhani unalipwa kwani we Furgersoni.
  Mchafu wako ulimi mwepesi kunihukumu,
  bize bize kutwa kama malaika wa motoni.

  Hata hufanani na kiburi
  Unaboa Unaboa
  Hujawahi nisifu mimi mzuri
  Unaboa Unaboa
  Matani na mimi ndo sifuri
  Unaboa Unaboa
  Wenzangu unawaita vituyuri.
  Hata hufanani na kiburi
  Unaboa Unaboa
  Hujawahi nisifu mimi mzuri
  Unaboa Unaboa
  Matani na mimi ndo sifuri
  Unaboa Unaboa
  Wenzangu unawaita vituyuri,
  zamu yangu lini.

  Reply
 2. Avatar

  Pole sana dada leo nmechelewa but support yangu pata big up to u sai Kenya👍👍👍nakupenda♥️♥️♥️the music is,,💯🔥🔥🔥unawakilisha 🇰🇪🇰🇪🇰🇪vizuri dada

  Reply

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *