Sakata la Morrison Kuhamia Simba, Kindoki Aanika Ukweli – Video


SHABIKI Kindakindaki wa Klabu ya Yanga, Jimmy Kindoki, amezungumzia Sakata la mchezaji wao wa Yanga, Bernard Morrison, tetesi za kuwa alitakiwa na klabu ya Simba huku akisema kuwa asingeamini kama anaweza kusaini Simba.
Toa comment