Serengeti Yadhamini Mbio Za Utunzaji Mazingira Wilayani Serengeti

Mkuu wa Wilaya ya Serengeti Nurdin Babu (wa sita kulia) akizungumza muda mfupi kabla ya uzinduzi wa mbio za Serengeti Migration Marathon, wakati wakikimbia katika mbio hizo zilizodhaminiwa na kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) pamoja na makampuni mengine kwa ajili ya uhamasishaji wa utunzaji wa mazingira.

Mbio hizo zilifanyika jana wilayani Serengeti mkoani Mara.

Mkuu wa wilaya ya Rorya Simon Odunga (mwenye kofia nyeusi) akishangilia na wadau wengine baada ya kukata utepe kuashiria uzinduzi wa mbio za Serengeti Migration Marathon zilizodhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) pamoja na makampuni mengine kwa ajili ya uhamasishaji wa utunzaji wa mazingira.

 

 

 

Baadhi ya washiriki wa mbio za Serengeti Migration Marathon, wakikimbia katika mbio hizo zilizodhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) pamoja na makampuni mengine kwa ajili ya uhamasishaji wa utunzaji wa mazingira.

 Toa comment