Shigongo: Siongei Siasa, Wana-Buchosa Mtaona – Video

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo James, ameendelea na kampeni za kunadi sera zake na kuomba kura kwa wananchi wa jimbo hilo ili waweze kumpa ridhaa ya kuwa mbunge wao kwa miaka mitano ijayo.
Toa comment