Shilole aja na wazo la kuandika kitabu cha maisha yake

1 0

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na mjasiriamali Shilole amekuja na wazo la kuandika kitabu kitakachosimulia maisha yake hadi hapo alipofikia. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Shishi ame share wazo hili kwa kusema kuwa:-

Nafikiria Kuandika kitabu, Nafikiria kuacha alama, Nafikiria kuelezea Mapito na Magumu yaliyonijenga leo hii kuwa Shishi !! Haikuwa Rahisi hata kidogo lakini pia Hakuna Gumu unapoamua kuto kukata tamaa, Kuweka Juhudi, Kumumuweka Mungu Mbele na Kuzikimbiza ndoto zako.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *