Shuhudia tukio la lori la mizigo lililovamia msafara wa Chadema Songea mjini na kupata ajali (+Video)

2 0

Shuhudia ajali ilivyotokea katika maandamano ya mgombea Ubunge mkoani Ruvuma jimbo la Songea Mjini ambapo  Lori la mizigo lilivavamia msafara wa wanachama na wananchi wa jimbo hilo wakati wanasindikiza msafara wa mgombea Ubunge wa CHADEMA katika jimbo hilo la Songea Mjini.

Mpaka sasahivi hakuna taarifa zozote za watu kujeruhiwa vibaya au kifo. Poleni sana CHADEMA na hasa Wanachana wa Chadema walikumbwa na tukio hilo Songea Mjini…..! Bongo5 tunavitakia vyama vyote vya Siasa kumaliza kampeni zao salama.

Tutafuatilia kwa taarifa zaidi endelea kubaki na Bongo5 kwa ajili ya Update ya tukio hili.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *