Snura anatia huruma kisa Corona “Sina chakufanya, hata hamu yamapenzi sina” Video)

11 0

Msanii wa muziki na filamu, Snura Mushi amefunguka kuzungumzia jinsi ugonjwa wa Corona ambao kwa sasa unaitesa dunia ulivyoathiri shughuli zake za kila siku. Nchini Tanzania kwasasa tumeshampoteza mtu mmoja huku watu wengine 18 wakiendelea kupatiwa matibabu katika maeneo maalum yaliyotengwa.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *