Soko Laungua Moto Arusha, Polisi Wacharuka Kisa Corona -Video

Baada ya Soko la Samunge Jijini Arusha Kuteketea kwa Moto usiku wa kuamkia leo Machi 29, 2020 chanzo cha moto huo kikiwa hakijajulikana watu wengi wamejitokeza kushuhudia hasara ya iliyosababishwa na moto huo hali iliyo lazimu jeshi la polisi kuwatawanaya.
Toa comment