Spika Ndugai “Tunasubiri Zitto Kabwe atueleze sababu za kuiandikia barua benki ya dunia kusitisha mkopo kwa ajili ya Elimu” – Video

24 0

Spika Job Ndugai amesema wanamsubiri Mbunge Zitto Kabwe awaeleze kwanini aliandika barua kwa benki ya dunia kuzuia mkopo kwa ajili ya elimu nchini.

“Mbunge mwenzetu atakaporudi labda anaweza akatufafanulia, Mhe Zitto kuandika barua World Bank nchi yetu ikose fursa ya mkopo ,kwasababu ya tofauti za sera..lakini na ku-block Tanzania isipate fursa fulani nadhani ni kwenda mbali,Sijui mbunge unafaidika nini”.Job Ndugai.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *