Sumaye Apokelewa Rasmi CCM, Apewa Uanachama Makao Makuu

Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye leo Machi 29, 2020 amerudi rasmi ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na kupokelewa na Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Bashiru Ally katika ofisi za CCM mkoa wa Dodoma ambapo pia amekabidhiwa kadi ya chama hicho.
Toa comment