Tanzia: Marin Hassan wa TBC Afariki Dunia

NGULI wa habari nchini aliyekuwa akifanya kazi katika Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Marin Hassan Marin, amefariki dunia leo Aprili 1, 2020 katika Hospitali ya Jeshi Lugalo, Dar es Salaam. Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Martha Swai, amethibitisha. 

 

Mkurugenzi Mkuu wa TBC  Dkt. Ayub Rioba amesema taarifa zaidi zitaendelea kutolewa na uongozi wa TBC.
Toa comment