Tanzia: Mtangazaji wa TBC, Elisha Elia Afariki Dunia

Mtangazaji wa Shirika la Habari Tanzania (TBC), ELISHA ELIA MWAKAGALI amefariki Dunia hii leo Jumamosi, Oktoba 24, 2020 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokua amelazwa kwa matibabu.

Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Dkt. Ayub Rioba amethibitisha kutokea kwa msiba huo.
Toa comment