Tanzia: Naibu Meya Morogogoro Afariki Dunia

o
Naibu Meya Manispaa ya Morogoro kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Diwani wa Kata ya Kiwanja cha Ndege, Isihack Sengo amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Aprili 27, 2020 mkoani Morogoro.

 

Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia #GPHabariUpdates.
Toa comment