Tausi afunguka anavyopendwa na baba mtoto wake Chriss ‘Anavyonifanyia kuna wakati nalia (Video)

4 0

Msanii wa muziki filamu Tausi amemmwagia simu mpenzi wake Chriss ambaye amefanikiwa kuvaa nay mtoto mmoja ambapo amedai ni mwanaume wa aina yake kwani kuna wakati ana muonea huruma na kuanza kulia.

Muigizaji huyo amedai Mwenyezi Mungu akimjali basi atafunga naye ndoa kwani ni mwanaume wa ndoto yake huku akienda mbali zaidi kwa kudai baada ya kupata mtoto mapenzi yamezidi maradufu.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *