TFF Yatoa Tamko Kesi Zinazowasilishwa Kwao

Shirikisho la Soka nchini (TFF) limeonesha kusikitishwa na baadhi ya taarifa zinazosambaa mitandaoni juu ya namna taasisi hiyo inashughulikia kesi zinazowasilishwa kwake na vilabu mbalimbali.

Aidha TFF itaendelea kusimamia haki kwa vile na taasisi inayoendeshwa kwa misingi na utawala bora, hivyo kama kuna upande hauridhishwi na uamuzi wa vyombo vya chini ya TFF, utaratibu ni kukata rufani ngazi ya juu ya TFF, Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) au Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS)

Soma Habari kamili kwenye App ya Global #GooglePlaystore, #AppStore
Pakua App ya Global kwenye Google Playstore, App Store.
⚫ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫ ANDROID: http://bit.ly/38Lluc8
⚫ ANDROID: http://bit.ly/38Lluc
Toa comment