Tobi Peanut Butter; Ukianza Kuitumia, Kamwe Hutaiacha!

SIAGI YA TOBI, ni siagi iliyotengenezwa kwa kutumia mashine na teknolojia ya kisasa, huku malighafi yake ikiwa ni karanga halisi asilimia 100, zinazolimwa nchini Tanzania.

 

TOBI PEANUT BUTER ni LAINI, TAMU, haina chengachenga na imehifadhiwa kwenye vifungashio vyenye UBORA WA HALI YA JUU. Unapoifungua na kuanza kuitumia, haipotezi ubora wake HADI UNAPOIMALIZA.

 

Inafaa kwa matumizi mbalimbali, kama vile kupaka kwenye mkate na vitafunwa vingine na kula, kupikia kwenye mboga za majani, maharage, makande, ndizi na chakula chochote utakachopenda kuunga kwa karanga.

 

SIAGI YA TOBI imejaa virutubisho asilia muhimu kwa afya yako. SIAGI YA TOBI inapatikana kwenye ujazo mbalimbali na vifungashio vya aina tofauti kulingana na mahitaji yako. SIAGI YA TOBI inapatikana kwenye paketi ndogondogo unayoweza kuiweka hata mfukoni na kutembea nayo.

SIAGI YA TOBI inauzwa kwa jumla na rejareja na unaweza kuipata kwa bei hadi ya shilingi 300.

KWA MAHITAJI YA JUMLA NA REJAREJA, wasiliana na Kampuni ya SEASONING PALET ambao ndiyo WATENGENEZAJI na WASAMBAZAJI, kwa simu namba 0767 264 704 au tembelea ofisi zao zilizopo UKONGA KIPUNGUNI, jijini Dar-es-Salaam au watembelee INSTAGRAM:@ tobi_peanut_butter
#MaishaNiTobi PeanutButter
#LadhaKubwa
#BeiPoaToa comment