Tommy Flavour: Baada ya Midiocre ya Alikiba inakuja EP yangu ambaye itawathibitishia kuwa mimi ndio Young King kweli (+Video)

6 0

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva aliyopo kwenye lebo ya @kingsmusicrecords inayosimamiwa na @officialalikiba @tommyflavour amezungumzia kuhusu EP yake ambayo anatarajia kuiachia siku zijazo.

Tommy ameongeza kuwa EP yake anayotarajia kuiachia siku za hivi karibuni baada ya Midiocre ya Alikiba ndio itawathibitishia watu kuwa yeye ndio Young King.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *