Tulipokutana kule Arusha na Uganda nikakuomba hili bomba la mafuta usilipitishe kwingine, pitisha tu huku huku, nchi iliyopigana kwa ajili ya Waganda- Rais Magufuli

5 0

”WaTZ watanufaika na huu ni upendo mkubwa, tulipokutana kule Arusha na Uganda nikakuomba hili bomba la mafuta usilipitishe kwingine, pitisha tu huku huku, nchi iliyopigana kwa ajili ya Waganda, tuna damu moja ukasema mdogo wangu nalipitisha “- Rais Magufuli (+Video)

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *