Tume ya Taifa ya Uchaguzi yafafanua madai ya masanduku ya kura ‘fake’ Kawe na Kigoma (Video)

10 0

“Kuna Taarifa zinasombaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuwepo kwa masunduku ya kura feki, taarifa za madai hayo hazijawasilishwa rasmi kwenye Tume ya Taifa ya Uchaguzi” Jaji Rufaa (Mst) Semistocles Kaijage – Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *