Ubungo Interchange yaanza kufanya kazi, wananchi washangilia (Video)

11 0

Barabara ya juu eneo la Ubungo (Mwenge-Buguruni) imeanza kutumika leo, September 30 ambapo BongoTV ilipita eneo hilo na kuzungumza na Wananchi wanaitumia barabara hiyo katika shughuli zao.

Ujenzi wa ‘Ubungo Interchange’ Dar es Salaam utawezesha magari yatakayotumia barabara hizo kupita bila msongamano mkubwa.

Mradi huyo mkubwa uliozinduliwa kwa kuwekwa jiwe la msingi na Rais Magufuli March 20, 2017 umegharimu Tsh Bilioni 188.71.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *