Uchambuzi: Nafasi ya Mbwana Samatta ndani ya Aston Villa (+Video)

1 0

Mara baada ya Aston Villa kumsajili kinda mshambuliaji, Ollie Watkins kwa dau lililovunja rekodi ya klabu la paundi milioni 28 kumekuwa na maswali mengi kwa wadau wa soka nchini juu nafasi ya Mtanzania, Mbwana Samatta na hatma yake kunako timu hiyo inayoshiriki Premier League.

Mapema wiki hii Aston Villa ilifanikiwa pia kumuongezea mkataba wa miaka mitano nyota wake Jack Grealish kitu ambacho kimeongeza mjadala kwa mashabiki wa mpira nchini, @abbas__pira  ambaye ni miongoni mwa wadau wa soka analionaje hilo na nafasi ya Mshambuliaji huyu wa Tanzania.

IMEANDIKWA NA HAMZA FUMO, INSTAGRAM @fumo255

Posted from

Related Post

ISHARA 5 HARMONIZE KUJITOA WCB

Posted by - August 12, 2019 0
ISHARA 5 HARMONIZE KUJITOA WCB August 12, 2019 by Global Publishers   Kama inavyokuwa kwa mzazi na mtoto anapofikisha umri…

Tetemeko la Ardhi Lapiga Geita

Posted by - April 25, 2020 0
Tetemeko la Ardhi Lapiga Geita April 25, 2020 by Global Publishers TETEMEKO la ardhi limetokea majira ya saa 6:07 usiku…

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *