Uchambuzi: Sababu za Yanga kupata sare Vs Tz Prisons (+Audio)

1 0

Mchambuzi wa mpira Abbas Pira ameuchambua mchezo wa Yanga Vs Tanzania Prisons na kusema kuwa tatizo lilikuwa ni aina ya wachezaji waliyoanza katika mechi hiyo licha ya kucheza vizuri. ”Wachezaji waliyocheza kipindi cha Pili walitakiwa ndiyo waanze katika kipindi cha kwanza, Yanga walifanikiwa kutengeneza nafasi nyingi sana ila kulikuwa na matatizo ya umaliziaji ndiyo maana wakatoa sare.”- Abbas Pira

IMEANDIKWA NA HAMZA FUMO, INSTAGRAM @fumo255

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *