UCHAMBUZI: Usajili Yanga, kiwango cha Carlinhos Vs Aigle Noir (+Video)

1 0

Wakati mbio za dirisha hili ka usajili likiwa na hamasa za kipekee, hasa kutokana na kushuhudia klabu zilivyofanya sajili zake kwa tambo na mapokezi makubwa yakifanywa na mashabiki wa klabu zao. Hata sajili hizo zikikamilishwa na Matamasha makubwa kama vile Simba Week ya Machampions, Yanga Wiki ya Mwananchi na hata Azam Day. Mchambuzi Abbas Pira anajaribu kuangazia usajili na viwango vya wachezaji wa Yanga katika Wiki ya Mwananchi.

IMEANDIKWA NA HAMZA FUMO, INSTAGRAM @fumo255

Posted from

Related Post

Vide: Bora Iwe – Bexy

Posted by - February 27, 2020 0
Msanii wa muziki Bexy ameachia video ya wimbo wake mpya,Bora Iwe.Video ya wimbo huo imeandaliwa na Van Shayo. The post…

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *