UCHAMBUZI: Yanga hawapo vizuri hatakama wameshinda, lazima wabadilike (+Video)

15 0

Mara baada ya timu ya Wananchi Young Africans kuibuka na ushindi wa goli 1-0 mbele ya Mbeya City, mchambuzi wa mchezo wa soka Abbas Pira amesema kuwa Striker wa Yanga hawajiamini licha ya ushindi huo wanapaswa kubadilika

The post UCHAMBUZI: Yanga hawapo vizuri hatakama wameshinda, lazima wabadilike (+Video) appeared first on Bongo5.com.

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *