Unalipa jina gani goli la Mukoko dhidi ya Mlandege ?, Abbas Pira anamchambua Mkongo huyu 

11 0

Mchezaji anayekuja kwa kasi na anayetarajiwa kufanya makubwa kunako Ligi Kuu soka Tanzania Bara, Mukoko Tonombe hapo jana aliifungia timu yake @yangasc moja kati ya magoli mazuri kuwahi kushuhudiwa kwa wachezaji waliyosajiliwa dirisha hili.

@abbas__pira anazungumziaje kiwango cha kijana huyu wa Wananchi #yangasc ?

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *