Uturuki:19 wafariki na 300 kujeruhiwa katika tetemeko la Ardhi

33 0

Tetemeko lenye ukubwa wa 6.7 katika kipimo cha Richa limetokea Elazig, Mashariki mwa Uturuki na kusababisha vifo vya watu 19 na kuwajeruhi watu wengine zaidi ya 300Taarifa iliyotolewa na Shirika linalohusika na kutoa huduma ya kwanza katika Matukio ya Dharura (AFAD) imefahamisha kuwa idadi hiyo ya waliofariki inaweza kuongezeka

Na Jacquiline Ngoya

Posted from

Related Post

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *