Vanessa Mdee amenisikitisha, nimepata tabu sana, nipo single – Jux (+Video)

2 0

Msanii wa muziki na Rais wa label ya African Boy, Jux amefunguka kuhusu amahusiano yake kwa sasa, yaliyopita na Vanessa Mdee na namna alivyoweza kupambana ili kuhakikisha anayapita yote hayo.

”Sina Mpenzi na nimekuwa Single kidogo, kwakifupi nipo single kwa sasa. Kwenye mapenzi huwa sipangi vitu huwa vinatokea tu. Nimesikitishwa na taarifa za Vanessa Mdee kuwacha muziki. Nimepata tabu sana.”- Amesema Jux

Posted from

Related Post

Afya ya Hrmo, Hofu Yatanda

Posted by - October 9, 2020 0
Afya ya Hrmo, Hofu Yatanda October 9, 2020 by Global Publishers Hofu inazidi kutanda juu ya afya ya staa wa…

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *