VIDEO: BINTI ALIYEBAKWA na MCHUNGAJI hadi MIMBA, Asimulia

Tukio kubwa lililoshtua wengi ni sakata la Mchungaji mmoja mkoani Morogoro kumnyanyasa kingono muumini wake ambaye ni mwanafunzi hadi kufikia hatua ya kumpa mimba.

Kubwa kuliko ni kwamba mchungaji huyo awali alikuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi na mama mzazi wa mtoto huyo, kwahiyo ni kama amekula ngo’mbe na ndama wake.Toa comment