Video: Dkt Mwinyi Azindua Kampeni Za CCM Zanzibar

Chama Cha Mapinduzi Zanzibar leo tarehe  Septemba 12, 2020 nafanya mkutano wa uzinduzi wa Kampeni zake katika Uwanja wa Demokrasia, Kibandamaiti.

Mgombea wa Kiti cha Urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dokta Hussein Ally Mwinyi ataeleza dhamira yake ya kuitumikia Zanzibar.Toa comment