Video: Kifo Cha Corona, UVCCM Wazungumza Dar


KUFUATIA kifo cha Mtanzania mmoja kilichosababishwa na ugonjwa wa Corona, Umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (UVCCM) wameitisha mkutano na waandishi wa habari na kuzungumzia suala la Corona kubwa zaidi ni kuwataka watanzania kujilinda ili kuzuia vifo vingi zaidi.
Toa comment