Video: Mashabiki Walivyotua Wiki Ya Wananchi Uwanja Wa Mkapa

SIKU YA MWANANCHI: Amsha amsha ya mashabiki wa Yanga wakiendelea kuingilia uwanjani kushuhudia sherehe za Kilele cha Wiki ya Mwananchi ambapo mashabiki wamejitokeza kwa wingi kuiona mechi ya Yanga dhidi ya Aigle Noir kutoka Burundi.Toa comment