Video Mpya : Billnass ft Nandy – Bugana

MWANAMUZIKI Billnas pamoja na mwanadada mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni Nandy wameachia video ya wimbo wao mpya unao julikana kwa jina la Bugana, video imeongozwa na Director Joowzey.

Toa comment