Video: Tonombe, Carlinhos Na Tuisila Kivutio Mazoezi Ya Yanga


WACHEZAJI wapya waliosajiliwa kutoka nje ya Tanzania kuichezea Yanga msimu huu, Mukoko Tonombe, Tuisila Kisinda na Carlinhos leo Agosti 28, 2020 wamekuwa kivutio kwenye mazoezi ya Yanga, ambapo kila shabiki wa yanga amekuwa akiwatupia macho.

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCxToa comment